Ukiotea story kwenye vikao vya wanawake, utasikia wakisema wanaume
wanaooa siku hizi wamekuwa wachache. Kwamba wengi tunapenda kuwachezea
tu. Lakini wapo wanaume ambao wanataka kutulia na mwanamke mmoja na
kumfanya awe mke wake. Sasa utajuaje kuwa boyfriend wako anakupenda
kiasi cha kutaka uwe mke wake?
1. Huweka mipango ya baadaye
Anapoanza kuzungumza mipango yake ya baadaye, ni ishara kuwa angependa ajue mtazamo wako na mtazamo wako una uzito kwake.
2. Unaalikwa kwenye kila tukio
Unakuwa mtu wa pili kwenye kila matukio muhimu. Hii inamaanisha kuwa
anakuona una umuhimu kwenye maisha yake. Anataka kukutambulisha kwa
familia yake na kukufanya ujisikie kuwa na wewe ni sehemu yake.
3. Yuko Makini
Kama mpenzi wako anazingatia muda, ni lazima anakukubali sana. Pindi
mwanaume anapokuwa kwenye uhusiano serious, atahakikisha kuwa mwanamke
wake hamsubiri. Atahakikisha unajua kama atachelewa na hatokuchomesha
mahindi.
4. Kuna ongezeko la ukaribu
Itaonekana kama mlipoanza kuwa pamoja. Mwanaume wako atakuwa karibu
zaidi, kukushika mkono wakati unapika au kutumia muda kukufanyia massage
wakati ukifanya kazi.
5. Anakumisi
6. Anakuona wewe pekee
Hawezi kukufanya ujisikie wivu kwa kuonesha kutamani wasichana wengine hata kama mkiwa sehemu yenye watu wengi
7. Anataka muishi pamoja
8. Hufunguka mambo mengi kwako
9. Hakimbii unapokuwa kwenye wakati mgumu
10. Hakuchoki
11. Anasema kuwa anataka kukuoa
Monday, June 11, 2018
LADIES: Hizi ni Dalili 11 Mpenzi Wako Anataka Akufanye Uwe Mke Wake...Soma Hapa
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment