Wanawake wengi wanatabia ya kudanganya kuwa wamefika kileleni kumbe hata kileleni kwenyewe hajuwi ni wapi.
Mara nyingi wanatumia mbinu ya kudanganya kama wanafika kileleni kwa
kupiga kelele za kimahaba na wapo ambao huongea kabisa, utawasikia “ooh
bebi I’m coming”. Hapo mwanaume utajiona dume la mbegu kumbe “hutoshi”.
Wakati mwingine wanaume wanapata taabu sana kujua kama ni kweli
wamewaridhisha na kuwafikisha wake zao au la.
Dalili 5 zitakazokuonyesha sasa anafika kileleni:
1. UTAONA MISULI YA UKE WAKE INAKAZA NA KUACHIA:
Mwanamke anapokaribia kutaka kufika kileleni utaona misuli kuzunguka uke
kama inakaza na kuachia hivyo hivyo kwa sekunde kadhaa na utaona wazi
mheshimiwa akibanwa na kuachiwa hivi. Ni wakati huu mwanaume hatakiwi
afike kileleni kwani atamwacha mwenza wake pabaya sana.
Kadri mwanamke anavyokaribia kufika kileleni ndivyo na kasi ya kukaza na
kuachia kwa misuli ya uke kutakavyokuwa wake kunaongezeka.
Kitendo hiki cha uke kumbana na kumwachia mzee kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka mwanamke amefika kileleni.
2. UKE UTAZIDI KULOA MAJI:
Hapa sasa unaweza kuwa na uhakika kwamba ameshafika mlimani kabisa. Haya
maji maji au utelezi kidogo unatokea hapa ndiyo tunaweza ni kukojoa kwa
mwanamke na hapo ndiyo na yeye anakuwa amefika kilelelni kama vile
manii yanavyomtoka mwanaume anapofika kileleni. Kwahiyo wanawake nao
huwa wanakojoa katika tendo la ndoa na ndiyo wakati huo yeye huhisi raha
ambayo ni vigumu kuielezea.
G-spot inapopata msuguano wa kutosha hapo mwanamke ataweza kukojoa.
G-Spot ni sehemu ipo sehemu ya juu ya uke wa mwanamke inch 2 kutoka juu
kwenye mlango wa uke. Hamu hii ya kutaka kukojoa wanawake wengi huipata
katikati ya tendo la ndoa, wengine wanaweza kuipata wakati wa maandalizi
kama mwanaume anajuwa kuichezea vizuri G-spot ya mwanamke.
G-spot inapopata msisimko wa kutosha, inatoa taarifa kwa homoni ya kike
kutengeneza hayo majimaji yakiwa tayari. Mwanamke utajisikia kutaka
kukojoa na ukijiachia ili yatoke yatapitia kwenye urethra kama mkojo
lakini sio mkojo bali ni majimaji ya kufika kileleni.
Wanawake wengi wakati wa kupeana raha na utamu kuna muda huwa
wanajisikia kama kukojoa na wanaomba wakakojoe lakini kumbe ni majimaji
ya kufika kileleni. Unashauriwa wakati mwingine kabla ya kushiriki tendo
la ndoa ukojoe kabisa ili kibofu chako cha mkojo kiwe kitupu ili
katikati ya tendo ukisikia kukojoa ujue unakaribia kufika kileleni.
Kwahiyo jiachie na uwe huru lii uweze kupata raha na utamu wa kufika
kileleni.
Si wanawake wote wanaweza kutoa majimaji mengi, kama ikitokea hujatokewa
na hali hii usijisikie vibaya bali ujuwe kuwa upo katika kundi la wale
wanawake ambao wakifika kileleni uke wao huwa unazidi kuloa badala ya
kutoa maji kama mkojo kabisa.
3. MIGUNO NA MAKELELE YA KIMAHABA VITAONGEZEKA:
Hapa uwe makini kidogo. Wapo wanawake wao huwa na kelele wakai wote
tangu mnaanza mpaka mnamaliza, mwanamke wa namana hii anaweza
kumchanganya mwanaume asiye mjanja kutambua hizi ni kelele za kufika
kileleni au ni kelele za kawaida tu.
Wanawake wengi wamedanganya waume zao kwa kutumia mtindo huu na mwisho
wa siku huwa hata hawajafika kileleni. Utaweza kujua kuwa anadanganya
pale kelele au miguno yake ikiwa katika mpangilio unaoeleweka kwa mfano
(oooh yeah,oooh yeah,ooh yes kama cd iliyorekodiwa, hapo ujuwe
unadanganywa).
Kelele za kufika kileleni mara nyingi huwa hazieleweki na wala huwa
hazina mpangilio maalumu. Kwa kawaida kelele huwa za undani kidogo
zikiambatana na lugha ya mwili inayoendana na makelele au miguno
anayoitoa. Kinyume na hapo ujue anakudanganya.
4. CHUCHU HUANZA KUWA NGUMU:
Kwa kawaida mwanamke anapokuwa anazidi kupata hamu ya tendo la ndoa
matiti yake huvimba kutokana na ongezeko la kasi ya mzunguko wa damu
katika mwili wake, lakini chuchu zake huwa zinakuwa za kawaida. Hata
hivyo kuna baadhi ya wanawake chuchu zao zinakuwa ngumu pale matiti
yakivimba (hawa ni wachache sana).
Hivyo ni mhimu ujue mapema kabla hata tendo la kupeana raha na utamu
halijakolea. Pale mwanzoni tu unapokuwa unapashana nae joto, jaribu
kuzigusa au kuziminya chuchu zake taratibu kama ukiona ni laini halafu
baadae katikati ya tendo zikabadilika zikawa ngumu, basi ujue upo
uwezekano ama ulifanikiwa kumfikisha kileleni au alikaribia kufika
lakini hakufanikiwa. Ikiwa umezikuta ngumu tokea mwanzoni basi huwezi
tena kuzitumia chuchu kama dalili ya kukujulisha kuwa amefika kileleni
au bado.
5. LUGHA YA MWILI:
Hapa anaweza kuwa anahema haraka haraka kwa sababu ogani zake za ndani
na mishipa yake vitakuwa vinahitaji oksijeni zaidi ili aweze kufika
kileleni salama.
Hivyo hivyo atazidisha kujikunjakunja, kujinyonganyonga au kujisogeza
kwako. Kama atakuwa ametulia tu ujue bado hivyo ongeza bidii.
Unaweza kuona pia mikono yake anaikunjakunja hata kufinya shuka.
Kama mpo kwenye staili ile ya kizamani wengine hupenda kuiita ‘kifo cha
mende’ utashangaa ghafla anaanza kukumbatia na kukushikilia kwa nguvu,
heee kama kucha zake ndefu anaweza kukuachia alama kadhaa mgongoni au
kifuani wakati mwingine anaweza akashindwa kujizuia akakung’ata
kabisa!!!
Sunday, June 10, 2018
Utajuaje Mke au Mpenzi Wako Amefika Kileleni
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment